Swahili - Sorah Al-Fatihah ( The Opening )

Noble Quran » Swahili » Sorah Al-Fatihah ( The Opening )

Choose the reader

Swahili

Sorah Al-Fatihah ( The Opening ) - Verses Number 7
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ( 1 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 1
KWA JINA LA MWENYEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU.
الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ ( 2 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 2
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ ( 3 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 3
Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu;
مَالِكِ يَوْمِ الدِّينِ ( 4 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 4
Mwenye Kumiliki Siku ya Malipo.
إِيَّاكَ نَعْبُدُ وَإِيَّاكَ نَسْتَعِينُ ( 5 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 5
Wewe tu tunakuabudu, na Wewe tu tunakuomba msaada.
اهْدِنَا الصِّرَاطَ الْمُسْتَقِيمَ ( 6 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 6
Tuongoe njia iliyo nyooka,
صِرَاطَ الَّذِينَ أَنْعَمْتَ عَلَيْهِمْ غَيْرِ الْمَغْضُوبِ عَلَيْهِمْ وَلَا الضَّالِّينَ ( 7 ) Al-Fatihah ( The Opening ) - Ayaa 7
Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.

Choose language

Choose Sorah

Choose tafseer

Participate

Bookmark and Share