Swahili
Sorah Al-Ikhlas ( Sincerity ) - Verses Number 4
قُلْ هُوَ اللَّهُ أَحَدٌ
( 1 )
Sema: Yeye Mwenyezi Mungu ni wa pekee.
اللَّهُ الصَّمَدُ
( 2 )
Mwenyezi Mungu Mkusudiwa.
لَمْ يَلِدْ وَلَمْ يُولَدْ
( 3 )
Hakuzaa wala hakuzaliwa.
وَلَمْ يَكُن لَّهُ كُفُوًا أَحَدٌ
( 4 )
Wala hana anaye fanana naye hata mmoja.